Fortell venner om denne varen:
Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi Enock Maregesi Swahili edition
Bestillingsvarer
Julegaver kan byttes frem til 31. januar
Finnes også som:
Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi
Enock Maregesi
Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi ni hadithi ya kusisimua ya kijasusi na madawa ya kulevya iliyoandikwa na Enock Abiud Maregesi. Inazungumzia vita kati ya Tume ya Dunia ya Umoja wa Mataifa, ya kudhibiti madawa ya kulevya na ugaidi wa kimataifa, World Drugs Enforcement Commission (WODEC) au Tume ya Dunia; na shirika kubwa la madawa ya kulevya la Kolonia Santita (CS-14) la Kolombia na Meksiko. Inaelezea, kwa kinagaubaga, jitihada za pamoja kati ya Tume ya Dunia, Marekani na Meksiko za kuwasaka na hatimaye kuwatia nguvuni viongozi nduli wa CS-14; na kuzuia shehena (kubwa) ya madawa ya kulevya na malighafi ya nyukilia: kwenda Afrika, Asia, Amerika, Ulaya - na kung'oa mizizi ya shirika la CS-14, lote, katika nchi za Hemisifi a ya Magharibi - na duniani kwa jumla. Hiki ni kitabu cha kwanza cha aina yake cha kimataifa katika Tanzania. Lengo lake si tu kukata kiu ya wapenzi wa riwaya za kipelelezi na kufufua mwamko wa usomaji wa vitabu; ni kuleta, hali kadhalika, ufahamu na burudani ya kimataifa kwa Watanzania, Wakenya na Waganda - na jamii nzima ya Afrika ya Mashariki inayozungumza Kiswahili - na walowezi wa jamii yote ya Kiswahili duniani.
| Media | Bøker Pocketbok (Bok med mykt omslag og limt rygg) |
| Utgitt | 12. september 2012 |
| ISBN13 | 9781477222959 |
| Utgivere | AuthorHouseUK |
| Antall sider | 406 |
| Mål | 26 × 152 × 229 mm · 594 g |
| Språk | Swahili |
Se alt med Enock Maregesi ( f.eks. Pocketbok og Innbunden bok )